Nehemiah 12:1-8

Makuhani Na Walawi Waliorudi Na Zerubabeli

1 aHawa wafuatao walikuwa makuhani na Walawi ambao walirudi na Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na Yeshua:

Seraya, Yeremia, Ezra,
2Amaria, Maluki, Hatushi,
3Shekania, Rehumu, Meremothi,
4 bIdo, Ginethoni, Abiya,
5Miyamini, Moadia, Bilga,
6 cShemaya, Yoyaribu, Yedaya,
7 dSalu, Amoki, Hilkia na Yedaya.
Hawa walikuwa viongozi wa makuhani na wenzao wakati wa Yeshua.

8 eWalawi walikuwa Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na pia Matania, ambaye pamoja na wenzake, alikuwa kiongozi wa nyimbo za shukrani.
Copyright information for SwhNEN